728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, August 27, 2016

  UTT-AMIS ILIVYOSHIRIKI MAONESHO YA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA

  Ofisa Mafunzo na Uendeshaji wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT-AMIS, Ashura Kassim (kulia) akimuandikisha Bi. Azina Ramadhani mmoja wa watu waliofika katika banda lao wakati wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa Mafuzo Idara ya Uendeshaji, Doris Mlenge na wa pili kulia ni Ofisa Masoko na Uhusiano, Waziri Ramadhani. 
  Ofisa Masoko na Uhusiano, Waziri Ramadhani (kushoto), akitoa elimu juu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa mmoja wa watu waliotembelea banda lao.
  Wananchi wakijiandikisha katika Kampuni ya Uwekezaji ya UTT-AMIS.
  Ofisa Mafunzo na Uendeshaji wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT-AMIS, Ashura Kassim akitoa maelekezo kwa mmoja wa watu waliotembelea banda la UTT-AMIS.

  Bi. Azina Ramadhani akijiandikisha.

  Ofisa Masoko na Uhusiano, Waziri Ramadhani (kushoto), akitoa elimu juu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa mmoja wa watu waliotembelea banda lao.
  Baadhi ya watu waliofika katika banda la UTT-AMIS wakipata maelezo kuhusu Uwekezaji wa Pamoja.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: UTT-AMIS ILIVYOSHIRIKI MAONESHO YA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top