728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, August 5, 2016

  UFUNGUZI WA MASHINDANO YA AIRTEL RISING STARS WAFANYIKA ZANZIBAR.

   
   Baadhi ya Timu mbalimbali za Wanawake ambazo zinashiriki katika mashindano ya Airtel Rising Stars zikiwasili katika Ufunguzi wa mashindano hayo uliofanyika katika Kiwanja cha Amani Zanzibar.
   
   Meneja wa Airtel Zanzibar Muhidini Mikidadi akitoa maelezo kuhusu mashindano ya Airtel Rising Stars kwa timu za  wanawake yaliofunguliwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Hassan Abdalla Mitawi katika Uwanja wa Aman.
   Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Hassan Abdalla Mitawi akitoa hotuba ya Ufunguzi katika Mashindano ya Airtel Rising Stars kwa timu za Wanawake katika Uwanja wa Amani Zanzibar.
   aibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Hassan Abdalla Mitawi akikagua Timu mbalimbali zinazoshiriki katika Mashindano ya Airtel Rising Stars Uwanja wa Amani Zanzibar.
  Mchezaji wa Timu ya Jumbi Wilaya ya Kati (Women Fiter)Monica Josef akijaribu kumzuia mchezaji wa Timu ya Bungi katika mashindano ya Airtel Rising Stars baada ya kufunguliwa leo Uwanja wa Amani Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
  Baadhi ya Waalikwa waliohudhuria katika Ufunguzi wa mashindano ya Airtel Rising Stars kwa timu za Wanawake katika Uwanja wa Amani Zanzibar.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: UFUNGUZI WA MASHINDANO YA AIRTEL RISING STARS WAFANYIKA ZANZIBAR. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top