Naibu
Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bw. Maduka Kessy akifafanua kwa Wakuu wa
Vitengo vya Mawasiliano Serikalini wa Wizara kuhusu umuhimu wa Mpango wa Pili
wa Taifa wa Maendeleo, leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Idara ya
Habari MAELEZO Bw. Hassan Abbasi na kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya
Habari MAELEZO Bi. Zamaradi Kawawa.
Mkurugenzi
Idara ya Habari MAELEZO Bw. Hassan Abbasi akifungua Mafunzo kwa Wakuu wa
Vitengo vya Mawasiliano Serikalini wa Wizara (hawapo pichani) leo Jijini Dar es
Salaam kuhusu mambo ya kuzingatia katika Utekelezaji wa Mpango wa Pili wa Taifa
wa Maendeleo ili kuimarisha Mawasiliano ya Serikali kwa Umma. Katikati ni Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bw.
Maduka Kessy na Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari MAELEZO Bi.
Zamaradi Kawawa.
Mchambuzi Sera Kutoka Tume ya Mipango Bi. Lilian Wawa
akiwasilisha mada kwa Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano Serikalini wa Wizara
kuhusu Mpango wa Pili wa Taifa wa Maendeleo, leo Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari MAELEZO Bi. Zamaradi
Kawawa akiongea na Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano Serikalini wa Wizara
(hawapo pichani) wakati wa Mafunzo kuhusu Utekelezaji wa Mpango wa Pili wa
Taifa wa Maendeleo, leo Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bw.
Maduka Kessy na Kulia ni Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO Bw. Hassan Abbasi.
Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano Serikalini wa Wizara
wakifuatilia mafunzo kuhusu Mpango wa Pili wa Taifa wa Maendeleo yaliyotolewa
kwao na Tume ya Mipango, Leo Jijini Dar es Salaam
PICHA NA FATMA SALUM-MAELEZO
0 comments:
Post a Comment