728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, August 22, 2016

  TOT ILIPOTUMBUIZA MWISHONI MWA WIKI UKUMBI WA CCM MWANANYAMALA JIJINI DAR


  Muimbaji wa Bendi ta TOT, Abdul Misambano akiimba sambamba na waimbaji wengine wakati wa onyesho lao la kila ijumaa katika Ukumbi wa CCM Mwinjuma Mwananyamala Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
  Rapa wa Bendi ya TOT, Issa Sadi akiimba sambamba na wanenguaji wa bendi hiyo wakati wa onyesho lao la kila ijumaa katika Ukumbi wa CCM Mwinjuma Mwananyamala Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
  Waimbaji wa Taarabu wa Bendi ya TOT wakicheza wakati wa onyesho lao la kila ijumaa katika Ukumbi wa CCM Mwinjuma Mwananyamala Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

  Wanenguaji wa Bendi ya TOT wakicheza wakati wa onyesho lao la kila ijumaa katika Ukumbi wa CCM Mwinjuma Mwananyamala Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TOT ILIPOTUMBUIZA MWISHONI MWA WIKI UKUMBI WA CCM MWANANYAMALA JIJINI DAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top