728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, August 3, 2016

  TIMU TEULE ZA JESHI ZAKABIDHIWA BENDERA MASHINDANO YA AFRIKA MASHARIKI YATAKAYOFANYIKA MJINI KIGALI,RWANDA

   
  Mkuu wa Mafunzo na Utendaji Kivita, Meja Generali Issa Nassoro (kushoto) akimkabiodhi Bendera Mkuu wa Msafara wa timu teule za jeshi, Brigedia Generali, Jairos Mwaseba, timu zinatarajia kushiriki mashindano ya Afrika Mashariki yanayoanza Agosti 5 hadi 18 Kigali Rwanda. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam Agosti 3. 2016. (Picha na Seleman Semunyu, JWTZ)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TIMU TEULE ZA JESHI ZAKABIDHIWA BENDERA MASHINDANO YA AFRIKA MASHARIKI YATAKAYOFANYIKA MJINI KIGALI,RWANDA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top