728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, August 22, 2016

  SERIKALI YAZITAKA TAASISI 145 AMBAZO HAZIJAWASILISHA TAARIFA YA WATUMISHI HEWA KUWASILISHA KABLA YA TAREHE 26 AGOSTI,2016  Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora imetoa orodha ya majina ya Taasisi ambazo hazijawasilisha Taarifa ya Watumishi Hewa katika Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora. Serikali imetoa tarehe ya mwisho ya kuwasilisha ambayo ni 26 Agosti, 2016.

  Mara baada ya tarehe hiyo, Ofisi ya Rais-Utumishi  itawasilisha taarifa rasmi ya watumishi hewa kwa Mheshimiwa Rais ikiwa na orodha na majina ya Taasisi ambazo zimewasilisha taarifa ya watumishi hewa na na zile ambazo hazijawasilisha taarifa hizo.

  Ifuatyo ndio orodha ya Taasisi hizo:-
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SERIKALI YAZITAKA TAASISI 145 AMBAZO HAZIJAWASILISHA TAARIFA YA WATUMISHI HEWA KUWASILISHA KABLA YA TAREHE 26 AGOSTI,2016 Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top