728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, August 5, 2016

  SERIKALI YAPOKEA MSAADA WA BILIONI 142.23 KUINUA VITUO VYA AFYA NCHINI.

   Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto, Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza na wadau wa Nchi washiriki kutoka Canada,Uswizi, Denmark na Korea kusini hawapo pichani wakati wa kusaini msaada wa Bilioni 142.23 kwa ajili ya kuinua vituo vya afya nchini.
   Wadau wa Nchi washiriki kutoka Canada,Uswizi, Denmark na Korea kusini wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisabisya katikati mara baada ya kusaini msaada wa Bilioni 142.23 kwa ajili ya kuinua vituo vya afya nchini.
  Wafanyakazi wa Common Wealth war Graves Commision wakisafisha sanamu la askari liliopo katikati ya mji wa Dar es salaam ili kuwaenzi mashujaa waliopigana vita kuiletea Uhuru nchi yetu.
  Picha Na Ally Daud-Maelezo. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SERIKALI YAPOKEA MSAADA WA BILIONI 142.23 KUINUA VITUO VYA AFYA NCHINI. Rating: 5 Reviewed By: MICHUZI BLOG
  Scroll to Top