728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, August 26, 2016

  RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA CHINA

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akisalimiana na Mgeni wake Balozi mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie XiaowuTek Chand Barupai alipofika Ikulu Mjini Unguja leo,
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akizungumza na Mgeni wake Balozi mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie XiaowuTek Chand Barupai alipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]26/08/2016.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akiagana na Mgeni wake Balozi mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie XiaowuTek Chand Barupai alipofika Ikulu Mjini Unguja leo baada ya mazungumzo yao,[Picha na Ikulu.]26/08/2016.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA CHINA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top