728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, August 21, 2016

  HUYU HAPA NDIYE MKUU MPYA WA WILAYA YA ARUSHA


   
  Mkuu wa Wilaya ya Arusha mteule Bw. Gabriel Fabian Dagarro
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 21 Agosti, 2016 amemteua Bw. Gabriel Fabian Daqarro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha.

  Bw. Gabriel Fabian Daqarro anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Mrisho Mashaka Gambo ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

  Uteuzi wa Bw. Gabriel Fabian Daqarro unaanza mara moja.


  Gerson Msigwa
  Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
  Dar es Salaam
  21 Agosti, 2016
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HUYU HAPA NDIYE MKUU MPYA WA WILAYA YA ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top