728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, August 11, 2016

  RAIS DKT MAGUFULI AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI WA JIJI LA MWANZA UWANJA WA FURAHISHA LEO


  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza na maeneo ya kanda ya ziwa katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Furahisha eneo la Kirumba jijini humo.APICHA NA IKULU

  Baadhi ya Wananchi wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano wa hadhara,wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia
  Wananchi wakimsikiliza Rais Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia jioni ya leo kwenye uwanja wa Furahisha,jijini Mwanza
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS DKT MAGUFULI AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI WA JIJI LA MWANZA UWANJA WA FURAHISHA LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top