728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, August 12, 2016

  PROFESA BAREGU AONGOZA KONGAMANO LA VIJANA WA CHADEMA (BAVICHA) UKUMBI WA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

   Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Profesa Mesigwa Baregu (kulia), akizungumza katika kongamano la Umoja wa Vijana wa Chadema (Bavicha), ikiwa ni maadhimisho ya siku ya vijana duniani lililofanyika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo mchana. Kushoto ni Mtoa mada katika kongamano hilo, David Kafulila.
   Mtoa mada katika kongamano hilo, David Kafulila akichangia mambo mbalimbali.
   Meza kuu katika kongamano hilo.
   Mkutano ukiendelea.
   Mada zikiendelea kutolewa.
   Wanahabari wakichukua taarifa mbalimbali.
  Usikivu ukiwa umetawala katika ukumbi huo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: PROFESA BAREGU AONGOZA KONGAMANO LA VIJANA WA CHADEMA (BAVICHA) UKUMBI WA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top