728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, August 7, 2016

  PROF MUHONGO AANDAA MASHINDANO YA NYIMBO ZA KWAYA JIMBO LA MUSOMA


  Vikombe Vya washindi wa Nyimbo na Kwaya katika Jimbo la Musoma Vijijini. Mashindano hayo yameandaliwa na Waziri wa Nishati na Madini Prof Muhongo Kwa ajili ya kusheherekea sherehe za NANE NANE katika Jimbo hilo. Mashindano hayo yanezinduliwa Leo Tarehe 7/8 kwa Nyimbo za Kwaya na Kumalizika Kesho Kwa Ngoma za utamaduni. Washindi wa kwanza hadi 3 watapewa Kombe na Fedha Taslimu (Mshindi wa kwanza 1,000,000, wa Pili 600,000 na wa tatu 400,000).

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: PROF MUHONGO AANDAA MASHINDANO YA NYIMBO ZA KWAYA JIMBO LA MUSOMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top