728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, August 1, 2016

  PINK RIBBON ITASHIRIKIANA NA SERIKALI KUFANYA UCHUNGUZI NA TIBA YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI


  Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Pink Red Ribbon toka nchini Marekani Bi.Celina Schocken,shirika hilo limeahidi kushirikiana na Tanzania kwenye masuala mazima ya saratani ya matiti na mlango wa kizazi ili kuwezesha huduma kuwa endelevu,kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa UNAIDS Dkt.Warren Naamara
  Waziri Ummy Mwalimu akizungumza kwenye kikao hicho,kushoto ni mkurugenzi msaidizi wa kitengo cha afya na mtoto-wizara ya afya dkt.Georgina Msemo .
  Waziri Ummy Mwalimu akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa Pink Ribon Red Itinerary Bi. Celina Schocken
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: PINK RIBBON ITASHIRIKIANA NA SERIKALI KUFANYA UCHUNGUZI NA TIBA YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top