728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, August 18, 2016

  OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAKUTANA WADAU KUJADILI DHAMIRA YA SERIKALI KUPIGA MARUFUKU UTUMIAJI WA MIFUKO YA PLASTIKI.

  Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Richard Muyungi akifungua kikao cha Wadau kujadili dhamira ya Serikali kupiga marufuku uzalishaji na usambaji wa mifuko ya plastiki Nchini. Kilichoandaliwa na Idara ya Mazingira -Ofisi ya Makamu wa Rais. Aliyekaa kulia ni Mkuirugenzi Msaidizi Bi. Magdalena Mtenga
  Sehemu ya Wadau waliohudhuria kikao cha kujadili dhamira ya Serikali kupiga marufuku uzalishaji na usambaji wa mifuko ya plastiki Nchini. Kikao iko kimeandaliwa na Idara ya Mazingira – Ofisi ya Makamu wa Rais.
  Mmoja wa Wadau waliohudhuria kikao hiko Bwana Joseph Wasonga kutoka kampuni ya Wande Packaging akitoa maoni yake wakati wa kikao hiko cha Wadau kujadili dhamira ya Serikali kupiga marufuku uzalishaji na usambaji wa mifuko ya plastic Nchini.
  Mwanasheria wa Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Isaqwisa Mwamkonda, akitoa mada kwa Wadau waliohudhuria kikao hiko cha Wadau kujadili dhamira ya Serikali kupiga marufuku uzalishaji na usambaji wa mifuko ya plastiki Nchini .
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAKUTANA WADAU KUJADILI DHAMIRA YA SERIKALI KUPIGA MARUFUKU UTUMIAJI WA MIFUKO YA PLASTIKI. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top