728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, August 8, 2016

  NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA JUMAMOSI 13 August 2016 FRANKFURT,UJERUMANI

  Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band yenye makao yake kule Ujerumani,wanatarajiwa kutingisha jukwaa katika maonyesho ya Afrika-Karibik Festival litakalo fanyika jumamosi hii 13 August 2016 katika viwanja vya Rebstock Park,jijini Frankfurt,Ujerumani ambapo wapenzi wa muziki watapata burani ya aina yake kutoka kwa bendi hiyo iliyofanikiwa kuwanasa washabiki kila kona duniani,kikosi cha Ngoma Africa band kinachoongozwa na mkuu wake mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Kamanda ras Makunja mkuu wa viumbe wa ajabu Anunnaki Aliens kinadumu katika gemu la muziki kwa takribani miaka 23 sasa na kuwekwa katika rekodi ya kimataifa kuwa ndio bendi ya kiafrika inayodumu kwa muda mrefu barani ulaya.

  usikose kuwasikiliza at www.ngoma-africa.com
  wape Hi at www.facebook.com/ngomaafricaband
     • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA JUMAMOSI 13 August 2016 FRANKFURT,UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top