728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, August 29, 2016

  Ngoma Africa Band iliyowatia kiwewe wapenzi wa muziki Frankfurt,Ujerumani

  Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band maarufu kama FFU-ughaibuni inayoongozwa na mwanamuziki nguli Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja juzi kati ya jumamosi ya 13 Septemba 2016 ilifanikiwa tena kulitingisha jiji la Frankfurt nchini ujerumani katika maonyesho ya Afrika-Karibik Festival yaliyo fanyika katika viwanja vya Rebstock Park,ambapo bendi hiyo iliwatia kiwewe waudhuriaji wa onyesho hilo.Bendi hiyo maarufu na mdundo wake "Bongo Dansi" inatajwa kuwa ndio bendi imara ya kiafrika kudumu kwa muda mrefu na kuteka soko la muziki barani ulaya.
  wape Hi at www.facebook.com/ngomaafricaband
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Ngoma Africa Band iliyowatia kiwewe wapenzi wa muziki Frankfurt,Ujerumani Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top