728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, August 23, 2016

  NAIBU WAZIRI (OR) KATIBA, SHERIA, UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA ATOA TARIFA YA MGAO WA TATU WA MIRABAHA
  Afisa Mtendaji Mkuu wa Hakimiliki Zanzibar Bi. Mtumwa Khatib Ameir akimkaribisha Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Khamis Juma Mwalim kwenye Mkutano na wandishi wa Habari juu ya taarifa ya mgao wa tatu wa Mirabaha uliofanyika Ofisi ya Wizara Mazizini Mjini Zanzibar.

  Naibu Waziri Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Khamis Juma Mwalim akitoa taarifa ya mgao wa tatu wa Mirabaha inayotolewa na Ofisi ya Hakimiliki kwa wasani na wabunifu kutokana na watumiaji wa sanaa hizo.
  Mwandishi wa habari wa Star Tv Abdallah Pandu akiuliza swali kwa Naibu Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Khamis Juma (hayupo pichani) katika Mkutano na wandishi wa Habari juu ya taarifa ya mgao wa tatu wa Mirabaha inayokusanywa na Ofisi ya Hakimiliki Zanzibar.
  Naibu Waziri Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Khamis Juma Mwalim akijibu maswali ya waandishi wa Habari.Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NAIBU WAZIRI (OR) KATIBA, SHERIA, UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA ATOA TARIFA YA MGAO WA TATU WA MIRABAHA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top