728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, August 18, 2016

  NAIBU SPIKA TULIA AKUTANA NA WAGENI KUTOKA KOREA

  Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Ujumbe Wabunge kutoka Korea ya Kusini walipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam wakiongozwa na kiongozi wao Won Yoochul.
  Naibu SpikA, Dkt. Tulia Ackson akionyeshwa zawadi ya Jarida la Watoto alilopewa na Ujumbe wa Wabunge kutoka Korea ya Kusini walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam, kulia ni Kiongozi wa Ujumbe huo, Won Yoochul. Naibu SpikA, Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi ya Taa ya Solar alilopewa na Ujumbe wa Wabunge kutoka Korea ya Kusini walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam, kulia ni Kiongozi wa Ujumbe huo, Won Yoochul
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NAIBU SPIKA TULIA AKUTANA NA WAGENI KUTOKA KOREA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top