728x90 AdSpace

 • Habari za hivi Punde

  Thursday, August 18, 2016

  Mwenyekiti wa Bodi ya Parole akutana na wakazi wa Tandale Uwanja wa Fisi.

  Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema akisisitiza jambo kwa wananchi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakati alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama. 
  pal1

  pal2
  Mjumbe wa Bodi ya Parole akizungumza na wananchi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakati Mwenyekiti wa Bodi hiyo Dkt. Augustine Mrema alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama, kulia ni mjumbe wa Bodi hiyo Bw. Ben Mwalutende.

  pal3
  Wananchi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema (hayupo pichani) wakati alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama.
  pal4

  pal5
  Msoma Risala kwa niaba ya wakazi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakati Mwenyekiti wa Bodi hiyo Dkt. Augustine Mrema alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama.
  pal7
  Mmoja ya wakazi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi ambaye jina lake halikupatikana akimueleza Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema kero mbalimbali zinazowakabili hasa akina mama wakati Mwenyekiti huyo alipowatembelea mapema hii leo.Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo.

  Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema akisisitiza jambo kwa wananchi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakati alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama katikati ni mjumbe wa Bodi hiyo Bi. Teddy Killa na mwisho kulia ni mjumbe wa Bodi hiyo Bw. Ben Mwalutende.
  Wananchi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema (hayupo pichani) wakati alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama.
  Mjumbe wa Bodi ya Parole akizungumza na wananchi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakati Mwenyekiti wa Bodi hiyo Dkt. Augustine Mrema alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama, kulia ni mjumbe wa Bodi hiyo Bw. Ben Mwalutende.
  Msoma Risala kwa niaba ya wakazi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakati Mwenyekiti wa Bodi hiyo Dkt. Augustine Mrema alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama.
  Mmoja ya wakazi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi ambaye jina lake halikupatikana akimueleza Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema kero mbalimbali zinazowakabili hasa akina mama wakati Mwenyekiti huyo alipowatembelea mapema hii leo.

  Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mwenyekiti wa Bodi ya Parole akutana na wakazi wa Tandale Uwanja wa Fisi. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top