728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, August 9, 2016

  MRADI WA AIRTEL NA VETA UJULIKANAO KAMA VSOMO WAENDELEA KUELIMISHA WATANZANIA MTAANI.

   Mabalozi wa Airtel kupitia mradi wa mafunzo ya stadi za ufundi kupitia mtandao wa simu ya mkononi yajulikanayo kama “VSOMO” yaani VETA SOMO, wakitoa elimu ya mafunzo hayo kwa wananchi jijini Dar Es Salaam.
   Abu Ally,Balozi wa Airtel kupitia mradi wa mafunzo ya stadi za ufundi kupitia mtandao wa simu ya mkononi yajulikanayo kama “VSOMO” yaani VETA SOMO, akitoa elimu ya mafunzo hayo kwa wananchi jijini Dar Es Salaam.
    Fatuma Abdallah ,Balozi wa Airtel kupitia mradi wa mafunzo ya stadi za ufundi kupitia mtandao wa simu ya mkononi yajulikanayo kama “VSOMO” yaani VETA SOMO, akitoa elimu ya mafunzo hayo kwa wananchi jijini Dar Es Salaam. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MRADI WA AIRTEL NA VETA UJULIKANAO KAMA VSOMO WAENDELEA KUELIMISHA WATANZANIA MTAANI. Rating: 5 Reviewed By: MICHUZI BLOG
  Scroll to Top