728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, August 31, 2016

  MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU APOKEA BANDO LA KUPAMBANA NA RUSHWA LEO

  Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa nchini (TAKUKURU), Valentino Mlowola (kulia) akipokea Bango la Mahakama ya Tanzania kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi Utawala wa Mahakama ya Tanzania, Wanyenda Kutta. Kushoto ni Afisa Utumishi, Mahakama ya Tanzania, Mwajuma Suru. Makabidhiano hayo yamefanyika leo kwenye ofisi za Makao Makuu ya TAKUKURU.
  Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa nchini (TAKUKURU), Valentino Mlowola (kulia) akizungumza jambo na Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala wa Mahakama ya Tanzania, Wanyenda Kutta, kabla ya Makabidhiano hayo kufanyika leo kwenye ofisi za Makao Makuu ya TAKUKURU. PICHA NA MAHAKAMA YA TANZANIA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU APOKEA BANDO LA KUPAMBANA NA RUSHWA LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top