728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, August 22, 2016

  MBUNGE WA ILEJE,MH JANET MBENE AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI ILEJE SEKONDARI

   Mbunge wa Ileje , Mh Janet Mbene,akikabidhi mifuko 50 ya Saruji kwa Mkuu wa shule ya Sekondari ya Ileje Agrey Mwahihojo kwa ajaili ya ukarabati wa madarasa

   Mbunge wa Ileje Mh Janet Mbene akikagua Mabweni ya Wasichana  ya shule ya Sekondari ya Ileje
   Mbunge wa Ileje ,Janet Mbene akisalimiana na Makamu mkuu wa Shule ya Sekondari ya Ileje , Hamidu Mwabulanga

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MBUNGE WA ILEJE,MH JANET MBENE AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI ILEJE SEKONDARI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top