728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, August 1, 2016

  MBUNGE ULEGA AKUTANA NA WANANCHI WAKE VIJIWE VYA KAHAWA


  Mbunge wa Jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega wa tatu kutoka kushoto akiwa sambamba na Wazee wa Mkuranga katika eneo la stendi kwenye kijiwe cha kahawa akipata kikombe cha kahawa pamoja ambapo pia walibadilishana mawazo juu ya maendeleo ya wilaya yao leo mkoani Mpwani. Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya jamii.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MBUNGE ULEGA AKUTANA NA WANANCHI WAKE VIJIWE VYA KAHAWA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top