728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, August 3, 2016

  MBOWE AMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE NDUGAI NYUMBANI KWAKE JIJINI DAR LEO


  Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe akisalimiana na Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.Spika wa Bunge amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini India alipokwenda kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.
  Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe aliyemtembelea Nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.
  iongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe akizungumza na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai alipomtembelea Nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.(Picha na Ofisi ya Bunge)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MBOWE AMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE NDUGAI NYUMBANI KWAKE JIJINI DAR LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top