728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, August 19, 2016

  MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO YALIVYORAHISISHA MCHAKATO WA AJIRA NA KUPUNGUZA GHARAMA ZA SERIKALI

   Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi  akizungumza na baadhi wa Watendaji wakuu wa Wakala wa Serikali (hawapo pichani) wakati akifungua  jukwaa la kujadili uimarishaji wa mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kutumia TEHAMA.

   Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi (aliyesimama) akiwasilisha mada kuhusu matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano yalivyorahisisha mchakato wa ajira na kupunguza gharama za serikali.

   Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi (katikati) pamoja na baadhi ya Watendaji wakuu wa Wakala za Serikali baada ya kumaliza majadiliano kuhusu uimarishaji wa mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kutumia TEHAMA.

  Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi akiongea na baadhi wa Watendaji wakuu wa Wakala wa Serikali (hawapo pichani) wakati akifungua jukwaa la kujadili uimarishaji wa mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kutumia TEHAMA. 


  Baadhi ya watendaji wakuu wa Taasisi wakitoa mchango wao wakati wa majadiliano kuhusu uimarishaji wa mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA).

  Baadhi ya watendaji wakuu wa Taasisi wakitoa mchango wao wakati wa majadiliano kuhusu uimarishaji wa mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)    Picha zote kwa hisani ya kitengo cha Mawasiliano Serikalini Sekretarieti ya Ajira Karika Utumishi wa Umma.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO YALIVYORAHISISHA MCHAKATO WA AJIRA NA KUPUNGUZA GHARAMA ZA SERIKALI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top