728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, August 16, 2016

  Marufuku kutumia mafuta ya transfoma kukaagia chipsi- Profesa Muhongo.

  Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amepiga marufuku matumizi ya mafuta ya transfoma kwa ajili ya kukaangia chips na kutengeneza mikorogo.

  Profesa Muhongo ameyasema hayo alipokuwa akihutubia wakazi wa kijiji cha Kirongo wilayani Muheza mkoani Tanga alipokuwa katika ziara ya kukagua miradi ya umeme  vijijini inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika mkoa huo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Marufuku kutumia mafuta ya transfoma kukaagia chipsi- Profesa Muhongo. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top