728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, August 15, 2016

  Manaibu Kamishina wa Jeshi la Polisi waliokuwa nje ya nchi wala kiapo cha maadili ya Viongozi wa Umma.


  Manaibu Kamishina Modestus Gasper Lyimo (kushoto) na Juma Yussuf wa Jeshi la Polisi wakila kiapo cha maadili ya viongozi wa umma leo Jijini Dar es Salaam. Manaibu Kamishina hao awakupata fursa ya kula kiapo hicho pamoja na wenzao mnamo tarehe 16 Julai 2016.
  Manaibu Kamishina Modestus Gasper Lyimo (kushoto) na Juma Yussuf wa Jeshi la Polisi wakitia saini katika fomu za kiapo cha maadili ya viongozi wa umma leo Jijini Dar es Salaam. Manaibu Kamishina hao awakupata fursa ya kula kiapo hicho pamoja na wenzao mnamo tarehe 16 Julai 2016.
  Kamishina wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda akimkabidhi fomu ya maadili ya viongozi wa umma Naibu Kamishina wa Jeshi la Polisi (DCP) Modestus Gasper Lyimo
  Kamishina wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda akimkabidhi fomu ya maadili ya viongozi wa umma Naibu Kamishina wa Jeshi la Polisi (DCP) Juma Yussuf .
  Kamishina wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda(waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi Manaibu Kamishina wa Jeshi la Polisi DCP Modestus Gasper Lyimo na DCP Juma Yussuf Ali walioapishwa leo Jijini Dar es Salaam.
  Kamishina wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda(waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi Manaibu Kamishina wa Jeshi la Polisi DCP Modestus Gasper Lyimo na DCP Juma Yussuf Ali walioapishwa leo Jijini Dar es Salaam pamoja na wafanyakazi wa Sekretaieti ya Maadili ya Utumishi wa Umma.Picha zote na: Frank Shija, MAELEZO

  Kamishia wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda akiwaapisha Manaibu Kamishina wa Jeshi la Polisi (DCP) Modestus Gasper Lyimo na Juma Yussuf (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam. Manaibu Kamishina hao awakupata fursa ya kula kiapo hicho pamoja na wenzao mnamo tarehe 16 Julai 2016.
  Mwakilishi wa Katibu Mkuu Kiongozi,Charles Mwankupili akizingumza jambo wakati wa hafla ya kula kiapo cha Maadili kwa Manaibu Kamishina wa Jeshi la Polisi (DCP) Modestus Gasper Lyimo na Juma Yussuf Ali (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Kamishina wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda na Mwakilishi wa IGP, Kamishina wa Jeshi la Polisi Nsato Marijani Mssazya.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Manaibu Kamishina wa Jeshi la Polisi waliokuwa nje ya nchi wala kiapo cha maadili ya Viongozi wa Umma. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top