728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, August 17, 2016

  MAMLAKA YA UENDESHAJI WA MJI MKUU DODOMA (CDA) YAKUTANA NA WASHIRIKI WA MKUTANO WA UHABARISHAJI KUHUSUA FURSA NDANI YA DODOMA

  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uendelezaji wa Mji Mkuu Dodoma (CDA) Eng. Mulagili Paskas, akibadilishana mawazo na baadhi ya washiriki wa mkutano wa uhabarishaji kuhusu fursa zinazokuja na uamuzi wa makao makuu ya serikali kuhamia rasmi Dodoma, uliondaliwa na taasisi ya sekta binafsi TPSF siku ya Jumatatu, tarehe 15 Agosti, 2016 kwenye hoteli ya Ledger Bahari Beach. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF Bw. Godfrey Simbeye na Bw. Anic Kashasha, Meneja wa Uendelezaji wa Biashara wa JUNACO Group of Companies ya Dar es salaam. Kushoto kabisa ni Mwenyekiti wa Chama cha wafanyabiashara kutoka China.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAMLAKA YA UENDESHAJI WA MJI MKUU DODOMA (CDA) YAKUTANA NA WASHIRIKI WA MKUTANO WA UHABARISHAJI KUHUSUA FURSA NDANI YA DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top