728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, August 20, 2016

  MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU AHUDHURIA MSIBA MWANAMUZIKI MKONGWE BI.SHAKILA SAID


  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye mara baada ya kuwasili msibani kwa Bi. Shakila, Mbagala Chalambe.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombelezo ya msiba wa marehemu Shakila Said.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwafariji ndugu wa marehemu Shakila nyumbani kwa marehemu Mbagala Chalambe.
  Sehemu ya waliohudhuria msiba wa Bi. Shakila Said
  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza jambo na Issa Muhidin Michuzi kwenye msiba wa Bi. Shakila.
  Swala ya maalum kabla ya kwenda kuzika
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) akishiriki dua maalum ya kumuombea Marehemu Shakila Said ambaye alikuwa mwanamuziki maarufu wa muziki wa Taarab nchini.

  Mwili wa Marehemu ukipelekwa makaburini tayari kwa maziko.BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU AHUDHURIA MSIBA MWANAMUZIKI MKONGWE BI.SHAKILA SAID Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top