728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, August 16, 2016

  Mahojiano na Olympian Hilal Hemed Hilal (Live) kutoka Brazil

  Photo Credits: MissiePopular.com
  Katika kipindi cha JUKWAA LANGU (Jumatatu Agosti 15 2016) Mubelwa Bandio alifanya mahojiano ya moja kwa moja na Hilal Hemed Hilal. Nahodha wa Tanzania katika mchezo wa kuogelea kwenye mashindano ya Olimpiki huko Rio de Janeiro nchini Brazil.

  Alikuwa mkarimu kujiunga nasi kwa njia ya Skype sambamba na kocha wake Alexander Mwaipasi
  Karibu uungane nasi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mahojiano na Olympian Hilal Hemed Hilal (Live) kutoka Brazil Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top