728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, August 22, 2016

  Mahojiano na mjasiriamali na mwanaharakati Diana Gasper

  Katika huyu na yule wiki hii, tumezungumza Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Kinyago Travels and Tours na Stuka Tanzania Diana Gasper, ambaye pamoja na mambo mengine, amezungumzia historia yake, ya kampuni zake na harakati nzima za biashara na harakati za kuikomboa jamii ya Tanzania
  Amezungumza mengi
  Unaweza kutembelea tovuti yao http://kinyagotravel.com/ ama kupitia Instagram @diana_gasper ama @kinyagotravel ama @stukatanzania
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mahojiano na mjasiriamali na mwanaharakati Diana Gasper Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top