728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, August 29, 2016

  MACHUPA AWAPAGAWISHA WAKAZI WA BOKO NA SINGELI KWENYE TAMASHA LA MZIKI MNENE MWISHONI MWA WIKI

   Wakazi wa Boko jijini Dar es Salaam wakihangaika kucheza muziki wa Singeli kwenye tamasha la Mziki Mnene lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.Tamasha hilo lililoanza jijini Dar  es Salaam eneo la Boko mwishoni mwa wiki, litaendelea katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam.
   Muziki wa Singeli haubagui umri kama wapenzi hao wa muziki walivyokutwa wakisakata  kwa hisia muziki wa Singeli  kwenye tamasha la Mziki Mnene lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.Tamasha hilo lililoanza jijini Dar  es Salaam eneo la Boko mwishoni mwa wiki, litaendelea katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam.
   Msaanii wa Muziki wa Singeli, Machupa akikonga mioyo ya wapenzi wa muziki huo kwenye tamasha la Mziki Mnene lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.Tamasha hilo lililoanza jijini Dar  es Salaam eneo la Boko mwishoni mwa wiki, litaendelea katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam.
   Wakazi wa Dar es Salaam wakionyesha ujuzi wa kucheza muziki wa Singeli kwenye  tamasha la Mziki Mnene lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.Tamasha hilo lililoanza jijini Dar  es Salaam eneo la Boko mwishoni mwa wiki, litaendelea katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MACHUPA AWAPAGAWISHA WAKAZI WA BOKO NA SINGELI KWENYE TAMASHA LA MZIKI MNENE MWISHONI MWA WIKI Rating: 5 Reviewed By: MICHUZI BLOG
  Scroll to Top