728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, August 17, 2016

  Mabalozi waendelea kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi

   Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Bw.  Jassem Al Najem ni miongoni mwa mabalozi waliotembelea Ofisi ya Makamu wa Rais leo na kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar.
  Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Bw.  Jassem Al Najem ni miongoni mwa mabalozi waliotembelea Ofisi ya Makamu wa Rais leo na kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar. Picha zote na Ofisi ya Makamu wa Rais
   Balozi wa Uganda nchini Tanzania Bi. Dorothy Samali Hyuha akisaini kitabu cha maombolezo na kutoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekua Rais wa Pili wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.
   Mwakilishi wa Ubalozi wa Nigeria nchini Bi. Abiola Sherif Deluya akitoa salamu za pole katika kitabu maalumu kilichopo katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli, Jijini Dar es Salaam leo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mabalozi waendelea kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top