728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, August 5, 2016

  KAMPUNI YA POWER MACHINES KUTOKA URUSI YAONESHA NIA YA KUWEKEZA KWENYE UZALISHAJI WA UMEME KWA MAKAA YA MAWE


  Mkurugenzi wa Masoko kutoka Kampuni ya Power Machines kutoka nchini Urusi (kulia) akielezea uwezo wa kampuni yake katika uwekezaji kwenye miradi ya makaa yam awe. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya Nishati. Dk. Juliana Pallangyo.
  Watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) wakifuatilia mada zilizokuwa zinawasilishwa katika kikao hicho.
  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya Nishati. Dk. Juliana Pallangyo akifuatilia maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Dk. Gachao Kiuna kutoka kampuni ya Aqua Power katika kikao hicho.
  Dk. Gachao Kiuna kutoka kampuni ya Aqua Power (kushoto) akifafanua jambo katika kikao hicho. Kulia ni Sergey Livinskg kutoka Kampuni ya Power Machines kutoka nchini Urusi.   Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya Nishati. Dk. Juliana Pallangyo akielezea fursa za uwekezaji kwenye kikao chake na kampuni ya Power Machines kutoka nchini Urusi. Kikao hicho pia kilishirikisha watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KAMPUNI YA POWER MACHINES KUTOKA URUSI YAONESHA NIA YA KUWEKEZA KWENYE UZALISHAJI WA UMEME KWA MAKAA YA MAWE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top