728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, August 24, 2016

  JENGO LA HOSPITALI LENYE THAMANI YA BILIONI 8.8 KUJENGWA JIJINI DAR

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul makonda leo ameonyesha picha za jengo kubwa la hospitali ya kinamama ambalo ujenzi wake tayari umeanza kwa msaada wa Serikali ya Korea Kusini na linatarajiwa kuzinduliwa na Rais Magufuli mwezi wa nne mwakani. 

  Jengo hilo litakalogharimu jumla ya shilingi bilioni 8 na milioni 800 litakuwa na uwezo kulaza wakinamama (wagonjwa) 160 kwa wakati mmoja na litakuwa na chuo kwaajili ya wanafunzi na tayari Madaktari kutoka Korea wamesha anzaa kutoa mafunzo ya magonjwa ya kinamama.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: JENGO LA HOSPITALI LENYE THAMANI YA BILIONI 8.8 KUJENGWA JIJINI DAR Rating: 5 Reviewed By: MICHUZI BLOG
  Scroll to Top