728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, August 18, 2016

  IGP AWAAGA ASKARI 14 WA KIKOSI MAALUM CHA POLISI (S.F.U)

  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akimuuaga PC Prosper Yenda yenda wa kikosi maalum cha Jeshi la Polisi ( S.F.U) ambaye ni miongoni mwa askari 14 wanaokwenda nchini Jordan kwa kozi maalum ya kupambana na uhalifu na wahalifu (Picha na Tamimu Adam- Jeshi la Polisi).
  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akiwa katika picha ya pamoja na askari 14 wa kikosi maalum cha Jeshi la Polisi (S.F.U) ambao wanaokwenda nchini Jordan kwa kozi maalum ya kupambana na uhalifu na wahalifu. (Picha na Tamimu Adam- Jeshi la Polisi)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: IGP AWAAGA ASKARI 14 WA KIKOSI MAALUM CHA POLISI (S.F.U) Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top