728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, August 8, 2016

  HIVI NDIVYO SIMBA DAY ILIVYOFANA UWANJA WA TAIFA LEO

  Mgeni Rasmi katika Shehere za kuadhimisha Miaka 80 ya Wekundu wa Msimbazi "Simba SC", Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (wa tano kushoto), akiwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (wa pili kushoto) pamoja na Baadhi ya viongozi wa Timu ya Simba, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukata keki ya Hepi Besdei ya Simba, iliyofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam.
  Baadhi ya Wachezaji wa Zamani wa Simba, wakiongozwa na aliewahi kuwa Mwenyekiti wa Timu hiyo, Mzee Hassan Dalali (kati) wakikata keki ya Hepi Besdei ya Simba, iliyofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam.
  Mwanachama wa Simba, Mohamed Dewji "MO" akimlisha kipande ya Keki, Mgeni Rasmi katika Shehere za kuadhimisha Miaka 80 ya Wekundu wa Msimbazi "Simba SC", Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
  MO akisalimiana na Mashabiki wa Simba.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HIVI NDIVYO SIMBA DAY ILIVYOFANA UWANJA WA TAIFA LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top