728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, August 27, 2016

  HATIMAYE LOWASSA USO KWA USO NA JPM LEO KWENYE SHEREHE YA MIAKA 50 YA NDOA YA MZEE MKAPA


   Waziri Mkuu wa Zamani na aliyekuwa Mgombea Urais wa chama cha CHADEMA,Mh.Edward Lowassa akijadiliana jambo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,awamu ya tano,Dk John Pombe Magufuli,mapema leo walipkwenda kushiriki misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu awamu ya tatu,Mh Benjamin William Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa jijini Dar leo
   Picha ya pamoja mara baada ya misa hiyo
    Rais Mstaafu awamu ya tatu,Mh Benjamin William Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa wakifurahia  Jubilei ya Dhahabu ya ndoa jijini Dar leo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HATIMAYE LOWASSA USO KWA USO NA JPM LEO KWENYE SHEREHE YA MIAKA 50 YA NDOA YA MZEE MKAPA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top