728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, August 30, 2016

  HASSAN MFAUME MKAZI WA KIJITONYAMA DAR AKAMATA MPUNGA WA VODACOM KIASI CHA SHILINGI MILIONI 5

  Meneja Msimamizi wa masuala ya Usalama wa Vodacom Tanzania, James Wawenje (kulia) na Ofisa Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania, Jehud Ngola (kushoto),wakimshuhudia Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(katikati) akiwasilina na Hassan Mfaume Mkazi wa Mwananyamala jijini Dar es Salaam ambaye aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 5/- katika droo ya wiki ya promosheni ya ‘Kamata Mpunga’inayowawezesha wateja wa mtandao huo kujishindia pesa taslimu kuanzia shilingi Milioni 1 hadi 100.Jumla ya washindi 224 wamepatikana tangu kuanza kwa promosheni hiyo.Ili mteja aweze kushiriki katika promosheni hii anatakiwa kutuma neno “GO”kwenda namba 15544 aidha mteja anaweza kujiunga moja kwa moja kwa kutuma neno”WIN”kwenda namba 15544 na mteja atapata ujumbe wa kujibu maswali.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HASSAN MFAUME MKAZI WA KIJITONYAMA DAR AKAMATA MPUNGA WA VODACOM KIASI CHA SHILINGI MILIONI 5 Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top