728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, August 19, 2016

  DKT HARRISON MWAKYEMBE AKABIDHIWA RIPOTI YA ASASI ZA KIRAIA


  Waziri wa Katiba na sheria Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani katika mkutano wa kupokea ripoti ya ukaguzi kutoka kwa Taasisi zote zinazofanya usajili wa asasi za kiraia leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Amon Mpanju
  Waziri wa Katiba na sheria Dkt. Harrison Mwakyembe akipokea ripoti ukaguzi kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Amon Mpanju leo jijini Dar es Salaam.
  Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Rita,Emmy Karomba akifafanua jambo kulia ni Waziri wa Katiba na sheria Dkt. Harrison Mwakyembe leo jijini Dar es Salaam.
  Sehemu ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika mkutano huo leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DKT HARRISON MWAKYEMBE AKABIDHIWA RIPOTI YA ASASI ZA KIRAIA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top