728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, August 21, 2016

  Dk.Shein Aonana na Madaktari Bingwa kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha El Shatby Nchini Misri

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Prof.Saber Waheeb,Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha El-Shatby kiliopo Alexandria nchini Misri,walipofika ikulu mjini Zanzibar jana
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha El-Shatby kiliopo Alexandria nchini Misri,ukiongozwa na Prof.Saber Waheeb (wa pili kulia) leo ulipofika ikulu Mjini Zanzibar

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Prof.Saber Waheeb,Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha El-Shatby kiliopo Alexandria nchini Misri,baada ya mazungumzo walipofika ikulu mjini Zanzibar jana [Picha na Ikulu.]
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Dk.Shein Aonana na Madaktari Bingwa kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha El Shatby Nchini Misri Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top