728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, August 24, 2016

  DCB BANKI WAKABIDHI MADAWATI 100 KATIKA SHULE YA MSINGI KIMARA B JIJINI DAR ES SALAAM.


  BENKI ya DCB benki yakabdhi madawa 100 katika shule ya Msingi Kimara B iliyopo wilaya Mpya ya Ubungo jijini Dar es Salaam leo.

  Makabidhiano hayo yamefanyika kati ya Meneja wa Mikakati na Ubunifu wa DCB Banki, Samwel Dyamo na mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo na baadae Mkuu wa Shule ya Msingi Kimara B jijini Dar es Salaam.

  DCB banki ikiwa ni awamu ya mwisho ya ugawaji wa madawati katika wilaya tatu za jijini la Dar es Salaam.
   Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo na Meneja wa Mikakati na Ubunifu wa DCB Banki, Samwel Dyamo wakipongeza uzinduzi wa madawati katika shule ya msingi Kimara B leo.
  Meneja wa Mikakati na Ubunifu wa DCB Banki, Samwel Dyamo akimkabidhi Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo madawati ya kwaajili ya kukabidhi madawati ya Shule ya Msingi Kimara B leo jijini Dar es Salaam. 
  Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo akimkabidhi madawati Mkuu wa shule ya Msingi Kimara B, Zuxine Mponda jijini Dar es Salaam leo..
  Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo akikata utepe kuashiria uzindunzi wa madawati hayo katika hafla fupi ya kukabidhi madawati yaliyotolewa na benki ya DCB katika shule ya Msingi, Kimara B. Kulia ni Meneja wa Mikakati na Ubunifu wa DCB Banki, Samwel Dyamo.
  Meneja wa Mikakati na Ubunifu wa DCB Banki, Samwel Dyamo akizungumza na wanafunzi pamoja na viongozi malimbali wa kamati ya shule na waalimu wa shule ya Msingi Kimara B jijini Dar es Salaam leo. Amesema kuwa madawati waliopewa  wayatunze kwani ni mchango wa baadhi ya michango ya wananchi wanaotumia benki hiyo.
  Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo akizungumza na kuwashukuru Benki ya DCB kwa mchango wao kwani itasaidia kukuza Elimu hapa nchini.
  Mkuu wa shule ya Msingi Kimara B, Zuxine Mponda akizungumza na kuwashukuru wafanyakazi wa Benki ya DCB kwa kutoa mchango wao katika elimu. Amesema kuwa benki hiyo wameona wapeleke mchango wao katika shule hiyo.
   Meza kuu katika hafla ya kukabidhi madawati katika shule ya msingi Kimara B.
   Walimu wa Dhule ya Msingi Kimara B wakiwa katika Hafla ya kukabidhiwa madawati katika shule yao.
   Wanafunzi wa shule ya Msingi Kimara B wakitumbuiza katika hafla fupi ya kukabidhiwa msaada wa madawati. 
   Wanafunzi wakifurahia jambo.
   Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo wakiwa katika picha ya pamoja na mwanafunzi wa shule ya msingi Kimara mara baada ya kikabidhi madawati yaliyotolewa na Benki ya DCB.
   Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo na Mkuu wa shule ya Msingi Kimara B, Zuxine Mponda wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa madawati katika shule ya Msingi Kimara B jijini Dar es Salaam leo.
    Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo akiwa katika picha ya pamoja na waalimu wa shule ya msingi Kimara B jijini Dar es Salaam leo.
   Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Johnson Mushi akizungumza  mara baada ya kukabidhiwa madawati katika shule ya Msingi Kimara B jijini Dar es Salaam leo.

   Wafanyakazi wa Benki ya DCB wakiwa katika pich ya pamoja na viongozi wa shule pamoja na walimu wa shule ya msiki Kimara B jijini Dar es Salaam leo.
  Picha na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DCB BANKI WAKABIDHI MADAWATI 100 KATIKA SHULE YA MSINGI KIMARA B JIJINI DAR ES SALAAM. Rating: 5 Reviewed By: MICHUZI BLOG
  Scroll to Top