728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, August 23, 2016

  DC GABRIEL DAQARRO AAPISHWA. AAHIDI MAKUBWA ARUSHA


  Mkuu wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqarro akiapa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Mrisho Gambo aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha.
  Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akisaini hati ya kiapo cha Mkuu wa wilaya mpya ya Arusha,Gabriel Daqarro(kulia)wanaoshuhudia ni Katibu Tawala mkoa,Richard Kwitega na Afisa wa Itifaki,Mukhsin Khasim.
  Viongozi mbalimbali katika Jiji la Arusha wakifatilia tukio hilo.
  Mwenyekiti wa CCM na Mbunge mstaafu wa Longido,Lekule Laizer(kushoto) akimskiliza Mjumbe wa mkutano Mkuu wa CCM wilaya ya Arusha DC,Mathias Manga.
  Mkuu wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqarro akitoa shukrani zake baada ya kuapishwa.
  Picha ya pamoja na viongozi mbalimbali.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DC GABRIEL DAQARRO AAPISHWA. AAHIDI MAKUBWA ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top