728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, August 3, 2016

  COLLEGE READY SEMINAR

  Dear parents and guardians, napenda kuwashirikisha kwenye hii semina ya vijana.... "College Ready" kwa vijana wote walio vyuoni na wale wanaotegemea kujiunga na vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi to facilitate a smooth transition kuingia maisha yatakayojenga msingi wa maisha.

  Semina itafanyika tarehe 11/12 na 13 August. THT karibu na Leaders Club, Kinondoni. Tunaanza kila siku saa 3asubuhi hadi saa 9.30 mchana. FEE:60,000/= including lunch and refreshments kwa siku zote tatu. Jumamosi ni siku kwa ajili ya vijana pamoja na wazazi kuanzia saa nane mchana baada ya mafunzo ya asubuhi kwa vijana.

  College Time: Umri huu ni kipindi au daraja la mwisho kwa kijana kutoka utotoni kuelekea utu uzima. "They are becoming young adults……." Wako tayari na majukumu yanayoambatana na kipindi hiki?

  Kipindi hiki huwa kigumu kwetu sote wazazi na vijana wetu. It demands more responsibility than most young adults can handle right away kama vile:

  · Adjustment to a new environment: Mazingira mapya, mtindo mpya wa maisha na kuanza kutengeneza mahusiano mapya.

  · Greater personal freedom: Kijana anajikuta ana muda wa ziada na uhuru wa kufanya kile anachopenda kwa namna anayopenda pale anapotaka au kujisikia

  · Added responsibility: Majukumu yanaongezeka eg. kazi za darasani, maamuzi na uchaguzi wa vitu mbali mbali ambavyo either wazazi au walimu wangesaidia kufanya.

  · Changing relationships: Mahusiano yanabadilika, marafiki wanaongezeka toka backgrounds mbalimbali na hata room mates na class mates wanakua wapya.


  Kwa taarifa zaidi simu: 0767787882 au email: auntsadaka@gmal.com


  ENROLL Kijana wako mapema kwani nafasi ni chache.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: COLLEGE READY SEMINAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top