728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, August 14, 2016

  CLEZENCIA AMEREMETA

  Mwandishi wa Habari za Michezo wa Gazeti la Tanzania Daima, Clezencia Tryphone akiwa amepozi kwa picha kabla ya kufunga ndoa na Joseph Singano katika Kanisa la Mt. Nicholaus Parokia ya Kunduchi jijini Dar es Salaam  Agosti 13 2016. (Picha na Francis Dande) 
  Akiwa ndani ya Gari.
  Akiwa mepozi kwa picha
  Tabasamu.
  Akiwa na furaha.
   Kuingia Kanisani.
  Maharusi wakiingia kanisani.
  Ibada ikiendelea.
   Joseph Singano akimvisha pete mke wake.
   Clezencia Tryphone akimvisha pete mume wake. 
  Clezencia Tryphone akiibusu pete baada ya kumvalisha.
  Mwandishi wa Habari za Michezo wa Gazeti la Tanzania Daima, Clezencia Tryphone akiwa na furaha baada ya kufunga ndoa na Joseph Singano katika Kanisa la Mt. Nicholaus Parokia ya Kunduchi jijini Dar es Salaam.
   Joseph akisaini cheti cha ndoa.
   Clezencia akisaini cheti cha ndoa.
   Wakipokea cheti cha ndoa.
   Wakionyesha
   Wakitoka kwa furaha.
   Pongezi
  Wakipita juu ya khanga wakati wakitoka kanisani.  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: CLEZENCIA AMEREMETA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top