728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, August 19, 2016

  BREAKING NEWZZZ: MALKIA WA TAARABU SHAKILA SAIDI AFARIKI DUNIA USIKU HUU JIJINI DAR

   Habari za kusikitisha zimetufikia muda huu kuwa malkia wa Tarabu nchini Bi. Shakila Saidi amefariki dunia jioni ya leo muda mfupi baada ya kuanguka na kukimbizwa hospitali ya karibu na nyumbani kwake Mbagala Charambe jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika vilivyo karibu na marehemu, Bi Shakila hakuwa anaumwa ila alianguka ghafla na alipofikishwa hospitali akakata roho. 


  Taarifa kamili tutawaletea mara tu tutapozipata.

  MOLA AILAZE PEMA ROHO YA MAREHEMU - AMINA

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BREAKING NEWZZZ: MALKIA WA TAARABU SHAKILA SAIDI AFARIKI DUNIA USIKU HUU JIJINI DAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top