728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, August 20, 2016

  BI SHAKILA ENZI ZA UHAI WAKE

   Aliyekuwa msanii mahiri wa Taarab, marehemu Shakila Said wakati wa uhai wake akipongezwa na Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete wakati wa Tamasha la wasanii kumuaga Kikwete usiku baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa chama hicho, mjini Dodoma Julai 23, mwaka huu. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
   Shakila akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Abdulrahman Kinana
  Akitafakari jambo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BI SHAKILA ENZI ZA UHAI WAKE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top