728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, August 21, 2016

  BEI YA SAMAKI YAPANDA MNADA WA SAMAKI KAWE

  Baadhi ya Samaki waliopatikana leo,walipokuwa wakiuzwa kwenye mnada wa samaki katika ufukwe wa Kawe,jijini Dar leo.Baadhi ya Wanunuzi wa samaki waliokuwepo kwenye mnada huo wamelalamikia bei ya samaki hao kuwa juu,ambapo nao wauza samaki wameeleza kuwa upatikanaji wa samaki hao kwa sasa umekuwa mgumu kutokana na hali ya hewa ya bahari,na kwamba samaki wamekuwa wakipatikana mbali,kufuatia hali hiyo samaki ni lazima bei yake iwe juu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BEI YA SAMAKI YAPANDA MNADA WA SAMAKI KAWE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top