728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, August 24, 2016

  AIS DKT MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA CANADA, THAILAND NA AUSTRIA LEO IKULU DAR ES SALAAM

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Canada Mhe Ian Myles Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Canada Mhe Ian Myles Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Canada Mhe Ian Myles Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Thailand hapa nchini Mhe. Prasottiporn Wetpraisait Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  katika mazungumzo baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Thailand hapa nchini Mhe. Prasottiporn Wetpraisait Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa  Austria  hapa nchini Mhe. Harald Gunther Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  katika mazungumzo baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa  Austria  hapa nchini Mhe. Harald Gunther Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016.PICHA NA IKULU
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: AIS DKT MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA CANADA, THAILAND NA AUSTRIA LEO IKULU DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top