728x90 AdSpace

 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, July 12, 2016

  WAZIRI WA UTUMISHI WA ZANZIBAR MHE.HAROUN SULEIMAN AKUTANA NA WAZIRI WA UTUMISHI NA UTAWALA BORA MHE.KAIRUKI

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wa Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman alipomtembelea ofisini kwake mapema leo.
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wa Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman (kulia) akisisitiza jambo, wakati wa mazungumzo kati yake na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ofisini kwake mapema leo.

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wa Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman alipomtembelea ofisini kwake mapema leo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI WA UTUMISHI WA ZANZIBAR MHE.HAROUN SULEIMAN AKUTANA NA WAZIRI WA UTUMISHI NA UTAWALA BORA MHE.KAIRUKI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top